Heka Heka Za Maisha - Iringo SDA Choir -Lyrics
1.
Heka heka za Maisha, tumetingwa tumebanana
Mbio mbio asubuhi, kutwa nzima shughuli
Jioni tumechoka twalala hoi, Mungu hana nafasi tena kwetu
Udhuru ni mwingi sana, eti tunatafuta maisha
Yote ni ubatili na upepeo, mpe Mungu nafasi ya kwanza
(Wewe...